UEFA YAZIONYA URUSI NA UINGEREZA JUU YA GHASIA ZINAZOJIRI MICHUANO YA EURO..
Makundi ya mashabiki wa Urusi yameanza kurudishwa nyumbani kufuatia msururu wa visa vya ghasia katika michuano ya Euro2016 nchini Ufaransa.
Polisi wa Ufaransa wemewalaumu wahuni 150 'waliofanyiwa mafunzo' kwa ghasia hizo kabla ya mechi kati ya Uingereza na Urusi iliochezwa mjini Marseille.
Mashabiki sita wa Uingereza siku ya Jumatatu walifungwa kutokana na majukumu yao katika ghasia hizo na UEFA imeonya kuzipiga marufuku timu zote mbili iwapo kutakuwa na ghasia zaidi.
CHANZO: BBC
CHANZO: BBC
No comments
+255716829257