Habari mpya

TAZAMA RICH MAVOKO ALIVYOTAMBULISHWA RASMI KATKA FAMILIA YA WASAFI "WCB"..

Ilikuwa siku njema kwa wapenzi wa muziki hasa wana WCB, baada ya mwanamuziki Rich Mavokokutambulishwa katika famila hiyo kubwa ya muziki barani Afrika.


 Diamond Platnumz na timu yake ya WCB wameongozana Mpaka Basata Kwa lengo la kumtambulisha rasmi RICH MAVOKO kama mmoja wa wasanii watakaokuwa chini ya Label yaWCB.

Katika Mtandao wa instagram Diamond Platnumz amepost picha na kuandika "Wolcome to the Family @richmavoko Let's take Bongo fleva to the world!".

Nimekuwekea video fupi hapa chini! wakati Diamond Platnumz na timu yake walipokuwa BASATA:


CHANZO: Beka boy

No comments

+255716829257