Habari mpya

TAZAMA ILIVYOKUWA KATIKA HARUSI YA PRODUCER MANECKY..

Jumamosi hii ya tarehe 11june 2016 Ilikuwa ya kipekee na kukumbukwa kwa producer/mtayarishaji wa hits nyingi zilizopata kutamba hapa bongo zikiwemo NATAKA KULEWA- Diamond Platnumz, HAKUNAGA - Suma Lee, SIWEZI - Baraka Dah Prince, alipoamua kuoana mchumba wake wa muda mrefu anayefahamika kwa jina la lilytweety07 kama anavyotumia kwenye instagram
Na zifuatazo ni picha kutoka katika harusi hiyo.





chanzo: Bekaboy...

No comments

+255716829257