Habari mpya

EURO: WALES NA ENGLAND WALISONGESHA KUNDI B..

Wales na England zimefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Euro baada ya mechi zake za kundi B kukamilika.
Wilshere-Slovakia
Vijana wa Chris Coleman wamewabamiza Russia mabao 3 kwa 0 na huku England ikilazimisha sare ya bila kufungana na Slovakia katika mchezo wa mwisho wa kundi hilo uliochezwa huko Saint-Etiene, Ufaransa.
chanzo: Bongo5

No comments

+255716829257