Habari mpya

COLLABO YA PAPA WEMBA NA DIAMOND PLUTNUMZ IPO NJIANI...

Ni mwezi kadhaa imepita toka tumempoteza Papa Wemba ambae alikuwa ameshafanya Collabo naDiamond Platnumz kutoka Tanzania.

Hizi ni taarifa njema kwa wapenzi wa muziki wa Hayati Papa Wemba na Wapenzi wa Muziki waDiamond Platnumz, Taarifa zilizonifikia ni kuwa tarehe 24 mwezi huu Collabo hii itaachiwa.

No comments

+255716829257