Habari mpya

WABUNGE WA UPINZANI WASUSIA BUNGE..

May 31 2016 headlines za bunge bado zinaendelea kuchukua nafasi kutokea Dodoma, taarifa mpya ni hii ya Wabunge wa upinzani kususia vikao vinavyoendelea ikiwa ni kuinyesha kutokuwa na imani na Naibu Spika Tulia Ackson.
chanzo: Millardayo.com

No comments

+255716829257