Habari mpya

TAZAMA HAPA NAVY KENZO WAKILA BATA LA KUZIDI, WATUMIA ZAIDI YA TSH 1,400,000 USIKU MMOJA..

Wakali wa Hit songs kama Kamatia , Game na nyingine kibao mara baada ya kusain dili kubwa na mtandao wa simu hapa nchini wawili hao waonekana wakifanya matanuzi na kununua vinywaji vya bei kama "Moet"
Camera ya mwandishi wetu iliwafuma Aika na Nahreel pamoja na vijana wao wawili kutoka kwenye kundi hilo , wakiwa viwanja ambapo walifika eneo hilo mida ya saa saba usiku na kuanza kuagiza chupa za " Moet " haikuishia hapo waliendelea kuagiza paka wanaondoka eneo la tukio lile walikuwa tayari wamekunywa karibu chupa 7 za Moet  ambazo zina kadiriwa kuwa na thamani ya Tshs 1,400,000.
chanzo: Beka boy

No comments

+255716829257