Habari mpya

REAL MADRID NA ATLETICO MADRID KIMBEMBE LEO..

Image copyrightAFP
Image captionChristiano Ronaldo
Vilabu vya Real Madrid na Atletico Madrid vinakabiliana leo katika fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya.
Image copyrightAFP
Image captionTiago wa Atletico Madrid akisherehekea bao lake
Huku timu zote mbili zikishindwa kuizuia Barcelona kushinda kombe la liga,bila tatizo ni timu mbili bora Ulaya na mechi hiyo inatarajiwa kuwa ya kukata na shoka.
Image copyrightAFP
Image captionRodriguez wa Real Madrid
Hatahivyo,lakini ni wachezaji gani waliomo katika vikosi vya timu zote mbili.
Image copyrightAP
Image captionmashabiki
Huku Christiano,Gareth Bale ,Koke na Antoine Griezman wakishiriki huenda mechi hiyo ikatoa msisimuko wa kiwango cha juu.

No comments

+255716829257