RAISI KAGAME ASEMA HAKUNA SABABU YA KUMKAMATA AL-BASHIR..

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba hakuna sababu hata moja itakayoifanya nchi yake kumkamata rais wa Sudan Omar al-Bashir ikiwa ataalikwa kuhudhuria kikao cha Umoja wa Afrika kitakachofanyika nchini Rwanda mwezi Julai mwaka huu.
Post Comment
No comments
+255716829257