Habari mpya

NCHI HIZI KUAZIMISHA SIKU YA MAMA LEO..

Siku ya mama duniani huadhimishwa katika siku tofauti kulingana na nchi na nchi.
Nyingi hata hivyo huiadhimishwa siku hiyo kila Jumapili ya pili ya mwezi wa tano. Tanzania ipo katika nchi zilizochagua kuiadhamisha siku hii katika siku kama ya leo.
Mother’s Day ni sherehe za kumshukuru mama wa familia, pamoja na umama, uzazi wanaopitia na mchango mkubwa wa mama katika jamii.
Hizi ni nchi ambazo leo zinasherehekea:
Anguilla
Antigua and Barbuda
Aruba
Australia
Austria
Bahamas
Bangladesh
Barbados
Belgium
Belize
Bermuda
Bonaire
Botswana
Brazil
Brunei
Canada
Cambodia
Chile
China
Colombia
Croatia
Cuba
Curaçao
Cyprus
Czech Republi
Denmark
Dominica
Ecuador
Estonia
Ethiopia
Fiji
Finland
Germany
Ghana
Greece
Grenada
Guyana
Honduras
Hong Kong
Iceland
India
Italy
Jamaica
Japan
Kenya
Latvia
Liberia
Liechtenstein
Macau
Malaysia
Malta
Myanmar
Namibia
Netherlands
New Zealand
Pakistan
Papua New Guinea
Peru[26]
Philippines
Puerto Rico
Romania
Saint Kitts and Nevis
Saint Lucia
Saint Vincent and the Grenadines
Samoa
Singapore
Sint Maarten
Slovakia
South Africa
Sri Lanka
Suriname
Switzerland
Taiwan
Tanzania
Tonga
source: bongo5

No comments

+255716829257