Habari mpya

Mkondo wa mafuta washambuliwa Nigeria

Image copyrightGetty
Image captionWanajeshi wa Nigeria
Maafisa usalama nchini Nigeria wamesema wanamgambo wameshambulia mkondo wa mafuta katika jimbo la Delta.wanaripotiwa kuharibu vibaya mitambo na vifaa vinavyoruhusu kusafiri kwa mafuta kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
kundi la watu wanaoitwa Niger Delta Avengers lilimethibitisha kuhusika katika shambulizi hilo.Kumekuwa na ongezeko la uharamia baharini na katika eneo la jimbo la Niger Delta katika miezi ya karibuni.
CHANZO: BBC

No comments

+255716829257