Kama uliikosa show ya JEMBEKA FESTIVAL iliyofanyika Jijini mwanza siku ya Tarehe 21 mwezi huu USIJALI, hapa nimekuwekea PART 1 ya show hiyo ambayo DIAMOND PLATNUMZ na NEYO walikinukisha mbaya! Tazama show hiyo hapa chini:
chanzo: Bekaboy blog
Live Shows » Show ya Diamond Platnumz & NE-YO Jembekafestival 2016 (Part 1
Reviewed by Chimbuko Online
on
May 25, 2016
Rating: 5
No comments
+255716829257