Habari mpya

Hivi ndivyo Wabunge Wanawake UKAWA walivyotoka nje ya Bunge wakikataa Kuitwa 'Baby'

Umoja wa Wabunge wanawake UKAWA wametoka nje ya ukumbi wa Bunge Dodoma baada ya jana Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusema kuwa 'Wabunge wote wa viti maalum CHADEMA ili wapate nafasi hizo ni lazima waitwe kwanza Baby.



page

No comments

+255716829257