Habari mpya

TAZAMA VICHWA VYA HABARI KUBWA KWENYE TV LEO APRIL 30..

20160429_194127
Vichwa vya Habari kutoka Clouds TV…Kesho Ndio Kesho DSM20160429_193955
Vichwa vya Habari kutoka ITV Agizo
Jeshi la Polisi na Ofisi ya mwendesha mashtaka watakiwa kutekeleza wajibu wao20160429_200203
Vichwa vya Habari kutoka ITV…Bomba la Mafuta
Wataalam wa Tanzania na Uganda wakutana utekelezaji
20160429_200547
Vichwa vya Habari kutoka TBC1…Jeshi la Polisi ya Mwendesha Mashtaka Zaagizwa Kujirekebisha Kiutendaji20160429_200140
Vichwa vya Habari kutoka TBC1…Serikali ya Uganda Yatuma Wataalam Kujadili Uamuzi wa Kutumia Bandari ya Tanga Kusafirisha Mafuta Ghafi20160429_200514
Habari kutoka Azam TWO… MSD Yajitetea20160429_200533
Habari kutoka Azam TWO…Rais Magufuli Awageukia Polisi20160429_200125
Habari Kutoka Star TV…Tuhuma za Kuficha  Sukari
Wafanyabiashara wawili washikiliwa Singida20160429_200651
Habari Kutoka Star TV…Madai ya Wanawake Kubakwa
Viongozi watembelea mto wa mbu20160429_201107
KUTOKA: millardayo.com

No comments

+255716829257