Habari mpya

PICHA 14: Alivyoagwa aliyekuwa Mkurugenzi wa utumishi BOT, marehemu Amatus Liyumba

April 18 2016 zilitolewa taarifa za msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa utumishi wa Benki Kuu Tanzania (BOT) Amatus Liyumba,  Liyumba alifariki dunia  Hospitali ya Aga Khan kutokana na maradhi ya kisukari na shinikizo la damu ambayo yalikuwa yakimsumbua kwa muda mrefu mpaka dakika ya mwisho.
April 20 2016 Ndugu jamaa na marafiki wamejitokeza kuaga mwili wa marehemu Amatus Liyumba ambapo mwili utasafirishwa na mazishi yatafanyika kesho mkoani Morogoro.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
chanzo: millardayo.com

No comments

+255716829257