Yafuatayo ni maneno 44 yaliyoandikwa na Lulu baada ya kuzushiwa kifo….
Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni staa kutoka kiwanda cha filamu Tanzania, hivi leo Feb 22 amezichukua headline kwa kuandika yafuatayo kupita mtandao wake wa instagram kuhusu kuzushiwa kifo.
>>>’Nasikia nimekufa wewe uliyepost hii kama wewe utakwepo tutaonana tena 2017 inshaalah alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri Kwanza (niki repot LIVE kutoka heaven) this shows jina langu lina KIKI nishasema mniache jmn watsup Kufa nitakufa sikatai lkn mpk nimalize miaka iliyoandikwa kwenye Biblia’
- elizabethmichaelofficialNasikia Nimekufa






Wewe uliyePost hii

Kama wewe utakuwepo TUTAONANA TENA 2017 Inshaallah
Alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri kwanza
(Niki report LIVE kutoka heaven)
This shows how Jina Langu lina KiKi
nishasema MNIACHE JMN
watsup!???
Kufa ntakufa SIKATAI lkn mpk nimalize MIAKA ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA
chanzo:millardayo.com :http://millardayo.com/lulu0384/
No comments
+255716829257