Habari mpya


Wimbo uliotamba sana duniani "Happy birthday" uliozuwa  mgogoro mkubwa wa haki miliki umetatuliwa huko Los Angeles marekani kabla ya kesi kuhukumiwa mahakamani.




Kampuni ya kurekodi muziki ya Warner Chappel, imesema ilinunua haki miliki ya wimbo huo mnamo mwaka 1935, lakini mwanzoni mwa mwaka huu hakimu anayesimamia kesi hii, alisema wimbo huo hauna haki miliki ya kuwa na mashairi yenye lugha ya kiingereza.
Wanamuziki na watengeneza filamu wametakiwa kulipia dola milioni mbili kwa mwaka kama gharama ya kuutumia wimbo huo kwa umma kwa mwaka. Ingawa vigezo vyake bado havijawekwa wazi.
source BBC.

No comments

+255716829257