Haya ndiyo maamuzi ya Mahakama Kuu Rufani ya Kitilya na wenzake leo May 06 2016.
Rufani hiyo imesikilizwa leo ambapo mahakama kuu imefuta pingamizi hilo kutokana na kuwa na dosari hivyo shauri linarudi kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuendelea pale lilipokuwa limeishia na upande wa Jamhuri wanaweza kuandaa tena rufani na kufungua tena.
source: millardayo.com
No comments
+255716829257